Majadiliano:Itifaki ya Nagoya

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Google Translate[hariri chanzo]

Mchangiaji wa kwanza alitumia matini kutoka google translate aliileta hapa hivyo haieleweki. Simpigi zuio sasa kwa sababu alijaribu angalau kidogo kuisahihisha, hata hivyo tokeo si vizuri. Kipala (majadiliano) 09:59, 6 Mei 2022 (UTC)[jibu]