Nenda kwa yaliyomo

Majadiliano:Irani

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Weka mada
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Majadiliano:Iran)
Latest comment: miezi 7 iliyopita by Jalladda in topic Name controversy

Irani

[hariri chanzo]

Nilianzisha makala hii sasa nadhani ibadilishwe jina kuwa Iran. Hata Waarabu wenyewe wengi siku hizi wanasema Iran; zamani walisema "Ajm" (=asili ya neno letu Uajemi) lakini haikuwa jina la heshima na Watu wa Iran wanaisikia vile hadi leo. Mnasemaje? Kipala (majadiliano) 21:17, 18 Februari 2014 (UTC)Reply

Labda ukurasa huu ubaki kuhusu nchi ya zamani, na Iran kwa nchi ya sasa. --Riccardo Riccioni (majadiliano) 11:59, 19 Februari 2014 (UTC)Reply

Name controversy

[hariri chanzo]

@Riccardo Riccioni , In 2014 you said that this Article should be about Persia (Ancient Iran) but why isn't it using the data of Persia. I think It should be renamed into Iran.

Since Uajemi is Persia while Iran is the Modern day Country since the data of this Article is about Iran not Persia!

AguahrzChronist2.0

(Mtumiaji) 17:55, 23 Februari 2025 (UTC)Reply

Jina linaweza kubaki kama lilivyo. Italeta taharuki. Tazama hapa: https://www.bbc.com/swahili/topics/ckdxnd2r0ydt MuddybLonga 18:07, 23 Februari 2025 (UTC)Reply
Bbc is also written by Human, What about Tuki? , What does it say!
AguahrzChronist2.0
(Mtumiaji) 18:15, 23 Februari 2025 (UTC)Reply
Sasa kwani TUKI sio binadamu? Ajabu katika kamusi yangu ya 2013 Kiswahili - Kiswahili, imetaja nchi lakini sijaona Irani. Nimeshangaa mno. MuddybLonga 18:55, 23 Februari 2025 (UTC)Reply
Majadiliano_ya_mtumiaji:Muddyb#Disparity. Jalladda (majadiliano) 07:09, 20 Juni 2025 (UTC)Reply