Majadiliano:Hellboy
Weka madaMandhari
Latest comment: miaka 5 iliyopita by Kipala
Naona makala ni jaribio la kusimulia hadithi ya mhusika wa filamu au kitabu fulani, lakini haieleweki. Umbo haulinganoi na kamusi elezo, hakuna marejeo - ifutwe. Kipala (majadiliano) 13:46, 8 Novemba 2020 (UTC)