Majadiliano:Habari

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Hali ya makala[hariri chanzo]

Nimerudisha sehemu kubwa ya mabadiliko yaliyopelekwa na mtumiaji mpya 24.138.25.196 asiyejiandikisha bado. Namwomba mtumiaji huyu kujiandikisha na kuwasiliana nami au mkabidhi mwingine tupate kumsaidia kuchangia kwa njia inayofaa vizuri. Asikate tamaa tuko hapa kwa kusaidiana. Lakini alifuta sehemu kubwa ya yaliyomo, bila shaka bila nia baya.

Hali ya makala hii tena ni kiasili ilikuwa mchango katika mashindano ya google ya 2009 na tafsiri ya mashine. inahitaji kuangalia upya. Nimefuta sehemu ta etimolojia maana alitafsiri maelezo kuhusu neno la kiingereza akiitumia kwa neno la Kiswahili kazi ambayo haina maana.

Nimeacha orodha iliyoingizwa na mtumiaji 24.138.25.196 ingawa alinakili tu bila kuswahilisha nikasahihisha kidogo. Kipala (majadiliano) 06:49, 18 Januari 2017 (UTC)[jibu]