Majadiliano:Fundumaji

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Jina la kisayansi[hariri chanzo]

Calvin salaam. Tafadhali weka jina la kisayansi katika makala hii na picha pia ukiwa nayo. Mimi sijui tunda hili na halimo katika kamusi yoyote. ChriKo (majadiliano) 20:10, 19 Desemba 2017 (UTC)[jibu]