Majadiliano:Familia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Familia zimegawanyika katika aina kuu tano,ambazo ni familia ya Baba,mama na watoto.Familia ya Baba na mama,familia ya baba na watoto,familia ya mama na watoto,na familia ya Baba,mama,watoto na ndugu wengine.Familia ni kama jumuia kuu ya kwanza duniani.