Nenda kwa yaliyomo

Majadiliano:Faida za kutumia lugha ya Kiswahili

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Weka mada
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Latest comment: miaka 6 iliyopita by Kipala in topic Ifutwe

Ifutwe

[hariri chanzo]

Sielewi kusudi la makala hii. Ni mkusanyiko wa maoni (bila kutaja chanzo - inaonekana ni maoni ya mwandishi, jambo linalokataliwa kwetu). Mengi ni kweli kwa lugha yoyote, mengine inaweza kupingwa eti si kweli. Hakuna sababu au maelezo kwa maoni haya. Ifutwe. Kipala (majadiliano) 09:49, 27 Mei 2019 (UTC)Reply