Nenda kwa yaliyomo

Majadiliano:Eneo la Hifadhi ya Ghuba ya Menai

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Weka mada
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Latest comment: miezi 9 iliyopita by Muddyb in topic Jina

Jina

[hariri chanzo]

Eneo la Hifadhi ya au Eneo la Hifadhi la? Riccardo Riccioni (majadiliano) 10:21, 19 Aprili 2025 (UTC)Reply

Aisee! Haya mawani yameanza kufikia kikomo muda wake. Hebu badili kama ipo ndani ya uwezo wako @Riccardo Riccioni MuddybLonga 10:50, 19 Aprili 2025 (UTC)Reply
Mawani ni nini?
AguahrzChronist2.0
(Mtumiaji) 10:52, 19 Aprili 2025 (UTC)Reply
Ni miwani kwa lugha ya mitaani. --Riccardo Riccioni (majadiliano) 10:57, 19 Aprili 2025 (UTC)Reply
Ai hapana, Shuleni humu Kenya sisi husema Miwani pia kwa kuandika na sahihi kulingana na Our education System.
AguahrzChronist2.0
(Mtumiaji) 11:00, 19 Aprili 2025 (UTC)Reply
Ama ilimaanisha ni gani hapa lugha ya mitaani
AguahrzChronist2.0
(Mtumiaji) 11:02, 19 Aprili 2025 (UTC)Reply
Sahihi ni miwani, ila Muddy ametumia mawani ili kuchekesha... --Riccardo Riccioni (majadiliano) 11:26, 19 Aprili 2025 (UTC)Reply
@Riccardo RiccioniPole kwa kibarua cha kutoa elimu ukijaribu kuweka sawa stihizahi za kitahajia. Kanama mambo hutokea segemnege bila habari ukiwa macho. MuddybLonga 12:37, 19 Aprili 2025 (UTC)Reply