Majadiliano:Embriolojia

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Majadiliano:Embriologia)

Karibu ! naona hii ni kati ya makala ya kwanza ya mradi wa afya. Mchangiaji mpya anakaribishwa sana kujiandikisha kwa jina wakati wa kuingia wikipedia akiendeleza kazi yake. Nitajitahidi kupitiliza makala na kuweka viungo kwa makala zilizopo tayari au zinazohitajika kutokana na yaliyomo ya makala. Kipala (majadiliano) 14:34, 17 Septemba 2010 (UTC)[jibu]

Mzee Kipala, hii si makala ya kwanza. Tayari ilishatangulia ya Unyogovu na Mzunguko wa moyo! Tuendelee kutazama!--MwanaharakatiLonga 15:15, 17 Septemba 2010 (UTC)[jibu]