Majadiliano:Udeni

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Majadiliano:Denmark)

Kamusi ya "Kamusi Project" inaandika kwamba jina la Kiswahili la nchi hii ni Denmaki (au Denimaki au Denmak). Kwa hiyo naania kwamba tuihamishe makala hii iwe "Denmaki". Je, ninyi mnakubali? Marcos 19:33, 22 Julai 2006 (UTC)[jibu]

Angalia jibu langu kuhusu Iceland /Isilandi/Aisilandi. Majina haya ni ndoto au nadharia tupu. Kwa nini unataka kuchagua "Denmaki" badala ya "Denimaki" au "Denmak"? Tusipoteze muda, ongeza viungo ukiona jian fulani lipo kweli nje ya orodha lile. --Kipala 23:43, 22 Julai 2006 (UTC)[jibu]