Nenda kwa yaliyomo

Majadiliano:Demografia ya Kenya

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Weka mada
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Latest comment: miezi 10 iliyopita by Gayle157 in topic Demographics

Demographics

[hariri chanzo]

@Riccardo Riccioni How is it demografia ya Kenya yet its Demographics not Demographic?

Kiswahili na Kiingereza ni lugha tofauti sana. Umoja na wingi si kila mara sawa. Tazama KKK: Demografia haina wingi. Amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 10:16, 20 Machi 2025 (UTC)Reply

Wewe unazungumzia kuhusu "demography" ambayo kwa Kiswahili itakuja kama "demografia ya". Ila tunazungumzia "Demographics" ambayo inamaanisha takwimu za idadi ya watu, Ambayo ni "demografia za" kwa sababu ni mingi

AguahrzChronist2.0

(Mtumiaji) 10:16, 20 Machi 2025 (UTC)Reply

Mingi? Ngoja tuwaulize wengine. --Riccardo Riccioni (majadiliano) 10:31, 20 Machi 2025 (UTC)Reply
Iko hivi,
Demographics ni Takwimu za idadi ya watu, Ambazo ni umri, Kiwango cha kuzaliwa n.k. Yaani hizo vipengele ndizo zinaitwa demographics,
Ile ambayo Unazungumzia kuhusu ni Demography
AguahrzChronist2.0
(Mtumiaji) 10:35, 20 Machi 2025 (UTC)Reply
Basi, tuandike "takwimu za" badala ya "demografia za". --Riccardo Riccioni (majadiliano) 10:39, 20 Machi 2025 (UTC)Reply
Labda iwe Takwimu za Demografia,
Kwa sababu Demographics pia ni Demografia,
Lakini mbona, Isiwe tu Demografia za
AguahrzChronist2.0
(Mtumiaji) 11:21, 20 Machi 2025 (UTC)Reply
I have thought about it , I think it's ya not za
AguahrzChronist2.0
(Mtumiaji) 16:25, 1 Aprili 2025 (UTC)Reply