Nenda kwa yaliyomo

Majadiliano:Chama cha Kikristo cha Kidemokrasia cha Ujerumani

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Weka mada
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Majadiliano:Christian Democratic Union of Germany)
Latest comment: miaka 17 iliyopita by Muddyb Blast Producer

Je si afadhali makala ihamishwe kwenda Chama cha Kikristo cha Kidemokrasia cha Ujerumani? Yaani sioni sababu kutaja chama cha Kijerumani kwa jina la Kiingereza. --Kipala (majadiliano) 20:58, 18 Septemba 2008 (UTC)Reply

Nilikuwa nikiangaika kuhusiana na jina hilo bila kuangalia majadiliano ya ukurasa husika! Na hisi nitakuwa nimekulupuka, sasa nahamisha ukurasa kutoka Kiingereza kwenda Kiswahili! Naendelea!!!--Mwanaharakati (majadiliano) 06:00, 22 Septemba 2008 (UTC)Reply