Majadiliano:Buganguzi

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

VIONGOZI KUTIMIZA MAJUKUMU YAO KWA KUTIMIZA MAENDELEO YA KATA YA BUGANGUZI.[hariri chanzo]

  salaam sana ndugu wananchi wa buganguzi wilaya ya mleba mkoa wa kagera.Mimi natoa ushauri kwa viongozi husika wa kata hiyo pamoja na wa jimbo,wilaya na mkoa kwa pamoja kuwa waache kulewa umaarufu wa itikadi zao zisizokuwa na msingi bali wasome alama za nyakati ili waweze kupanua wigo wa maendeleo ya maeneo yenye maslahi kwa wananchi.toka nchi kupata uhuru paka sasa ni jambo la aibu kusikia kata yenye kuwa na watu maarufu selikalini wenye kuwa na uwezo wa kushawishi serikali yao pamoja na wananchi husika wa kata hiyo mpaka sasa hamna barabara ya kumfanya mkulima na mfanyabiashara ili aweze kusafirisha bidhaa zao kwa ufanisi,hasa barabara ya kutoka mleba wilayani kuja mpaka NSHAMBA.KISHANDA,BUGANGUZI,KAMACHUMU ili iweze kukutana na ile ya lami itokayo mleba hadi manispaa.mimi ninachosema kuwa maeneo muhimu kwa wananchi isiwe pahala pa kuombea kura kila wakati unapowadia.Hebu jaribu kuwa na ofa ya mungu kwa kutekeleza wajibu wenu sio kulea matumbo wakati kazi ziro.swala lingine zito ni umene,maji,kituo cha afya cha buganguzi kiboreshwe hata huduma za kibenki vijijini zisogezwe ili kupunguza wananchi kupoteza hela zao na uchumi wa nchi kushuka maana wananchi hukosa elimu kuhusu utunzaji wa fedha zao na kukosa mzunguko in economics we call it money circulation.mimi naomba niishie hapo ila naomba haya mambo tuyazingatie ili tuweze kuepakana na lawama.NI MIMI EDGER MWOMBECKY EDWARD.