Nenda kwa yaliyomo

Majadiliano:Baraza la Sanaa Tanzania

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Karibu katika majadiliano kuhusu baraza la sanaa la taifa uili tuweze kujadili masuala mbalimbali za kazi sanaa nchini Tanzania na kuweza kufahamu vyema kazi za BASATA, lakini pia tarehe 8 july 2013 katika ukumbi wa BASATA tutajadili mambo mbalimbali kuhusiana na uhusiano wa Wikipedia na Sanaa pamoja na kutafuta watumiaji wengi zaidi wa kurasa za wikipedia na miradi mingineyo.ManawaElimu kwanza, 11:03, 5 Jully 2013 (UTC)

Nini chanzo cha nyimbo nyingi kukosa maadili japo baraza limekuwa likijitahidi kufungia nyimbo zenye maudhui kama hayo?

[hariri chanzo]
  1. Sababu kuu za kuongezeka kwa nyimbo hizo
  2. Nini kifanyike ili tuweze kujikwamua katika hilo

Elisha Patrick Francis (majadiliano) 14:44, 4 Mei 2023 (UTC)[jibu]