Majadiliano:Backgammon Chouette

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

{{umbo}}[hariri chanzo]

Umbo la makala hiyo haujawekwa katika Kiswahili sanifu. Bado kumebaki maneno mengi ya Kiingereza (k.m. "the box", "dice", "shifting" n.k.), kwa hiyo inaonekana kama imetafsiriwa kimashine bila kumaliza marekebisho na mikono. Haya, ifanyiwe kazi. Asante! --Baba Tabita (majadiliano) 18:23, 23 Septemba 2010 (UTC)Reply[jibu]