Majadiliano:B. J. Vorster
Weka madaMandhari
Latest comment: miezi 8 iliyopita by Muddyb in topic B. J. Vorster
B. J. Vorster
[hariri chanzo]Sijaelewa huyu jamaa alipinga ubaguzi wa rangi au alikua anahimiza ubaguzi wa rangi? ~2025-67941 (talk) 12:10, 16 Juni 2025 (UTC)
- Alikuwa mstari wa mbele katika kuhakikisha anakuza ajenda ya apartheid. Nimeboresha. Mambo ya kuandika upesi hutokea kasoro za kimtantiki ndnai yake. Ahsante kwa kuona hilo. MuddybLonga 12:51, 17 Juni 2025 (UTC)