Majadiliano:Angelina Jolie

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Karibu katika majadiliano kuhusu Jolie. Unaruhusiwa kurekebisha makala mara tu uonapo kasoro. Usihofu upo huru kwa hilo ila tu usiweke matusi, lugha zisizoeleweka nk. --Muddyb Blast Producer 06:22, 22 Oktoba 2007 (UTC)

Muundo templeti[hariri chanzo]

Unauliza mahali pa jina. Je wamaanisha jina gani? Naona jina mara tatu. Jina lipi na ulitegemea kuona nini? --Kipala 14:57, 22 Oktoba 2007 (UTC)

Angalia kwa juu, Jina juu ya kichwa cha jolie halipo kati yaani kama limeshuka hivi, Linabidi liwe kati! Tafadhali angalia mfano chini

Angelina Jolie
Angeliana Jolie.
Jina la kuzaliwa Angelina Jolie Voight.
Alizaliwa 4 Juni 1975

--Muddyb Blast Producer 15:09, 22 Oktoba 2007 (UTC)

Sijui tatizo ni lipi. Itakuwa ndani ya amri kwenye kichwa. Nimeshajaribu lakini bado. Nadhani tatizi ni kimo cha sehemu yenye rangi kwa sababu mwandiko hutafuta nafasi ya chini. Lakini kwa sasa nachoka. Tuangalie siku nyingine. --Kipala 15:21, 22 Oktoba 2007 (UTC)

Sawa Nd. Kipala pumzika kesho au kesho kutwa tutapata ufumbuzi. jioni njema kwaheri.--Muddyb Blast Producer 15:26, 22 Oktoba 2007 (UTC)