Nenda kwa yaliyomo

Majadiliano:Mkoa wa Aichi

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Weka mada
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Majadiliano:Aichi Prefecture)
Latest comment: miaka 18 iliyopita by Kipala

Napendekeza kubadilisha makala hizi kwa "mkoa". "Prefecture" si Kiswahili wala Kijapani, ni Kiingereza/Kifaransa tu. Hakuna sababu kutumia neno hili. Kama mikoa hii ni mkoa au jimbo ni jambo la kuelewana. Ninavyoona tumetumia "Jimbo" kama kitengo cha shirikisho chenye kiasi kikubwa cha madaraka ya kujitawala. --Kipala 14:58, 22 Februari 2007 (UTC)Reply