Majadiliano:Abigaili
Weka madaHistoria ya Abigaili
[hariri chanzo]Abigaili alikuwa mwanamke wa heshima tena alikuwa mwanamke wa kujishimu na kuheshi watu wengine, bwana yake alipo mkosea aliyekuwa mfalme mtarajiwa wa Israeli yani Daudi Abigaili alichukulia kama na kosa lake. Ukisoma katika Biblia Daudi alimfanyia kazi nabali tajiri aliyekuwa katili sana na akawatuma watu wake waende kwa nabali awape chakula, lakini yule tajiri aliwatukana na Daudi akawa na shawishi kwenda kumuwua. Lakini Abigaili alipata hiyo habari na akachukuwa punda yenye ilikuwa imebeba chakula akaenda akafika kwenye Daudi apo na akaanguka kifudi fudi na akasema msamehe na Daudi akajuwa ni mungu alimpitia ili asimwue nabali. Tuwe wanyenyekevu hata kwa jambo lenye hatujafanya sisi na kuomba msamaha usichochee vita kama umeona maana Abigaili angekuwa mchochea vita nabal angekufa kwa upanga wa Daudi. ~2025-32990 (talk) 11:38, 14 Machi 2025 (UTC)