Nenda kwa yaliyomo

Maimuna Waziri

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Maimuna Waziri

Maimuna Waziri ni profesa wa Nigeria wa Kemia na Makamu Mkuu wa tatu katika Chuo Kikuu cha Shirikisho, Gashua (FUGA) ,Maimuna aliteuliwa mnamo mwaka 2021 baada ya mkutano wa tano wa baraza la chuo hicho. [1]

  1. Mingyi, Musa. "Female Professor, Maimuna Waziri, Emerges Vice Chancellor At Yobe University". Channels Tv.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Maimuna Waziri kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.