Mai Padmore
Mandhari
Edith Mai Padmore, née Wiles, (amezaliwa 20 Agosti, 1916 – amefariki 3 Julai, 1988) alikuwa mwanasiasa wa Liberia.[1] Alikuwa mwanamke wa kwanza kushika wadhifa wa uwaziri nchini Liberia alipoteuliwa kuwa Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii mwaka 1972.[2]
Maisha
[hariri | hariri chanzo]Mai Wiles alizaliwa 20 Agosti, 1916, mjini Monrovia. Alikuwa binti wa Richard Wiles, Spika wa Baraza la Wawakilishi la Liberia, na Mai Grimes, dada yake Louis Arthur Grimes, aliyewahi kuwa Jaji Mkuu wa Liberia.[3]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Elwood D. Dunn; Amos J. Beyan; Carl Patrick Burrowes (2000). Historical Dictionary of Liberia. Scarecrow Press. ku. 255–6. ISBN 978-1-4616-5931-0.
- ↑ John Dickie; Alan Rake (1973). "Padmore, Mai (Mrs)". Who's who in Africa: The Political, Military and Business Leaders of Africa. African Development. uk. 233. ISBN 978-0-9502755-0-5.
- ↑ World Biography. New York: Institute for Research in Biography. 1954. uk. 911.
| Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mai Padmore kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |