Mkoa wa Mai-Ndombe
Mandhari
(Elekezwa kutoka Mai-Ndombe Province)
| Mkoa wa Mai-Ndombe |
|
| Nchi | Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo |
|---|---|
| Mikoa | |
| Mji mkuu | Inongo |
| Eneo | |
| - Jumla | 127,465 km² |
| Idadi ya wakazi (2020) | |
| - Wakazi kwa ujumla | 2,254,100 |
Mkoa wa Mai-Ndombe ni mmojawapo kati ya mikoa 26 ya kujitawala ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
Jina linatokana na ziwa Mai-Ndombe linalopatikana katikati yake.
Idadi ya wakazi wake ni takriban 2,254,100.
Wilaya
[hariri | hariri chanzo]Mkoa umegawanywa katika mji huo na wilaya (territories) 8:
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]| Équateur | Ituri | Kasai | Kasai Kati | Kasai Mashariki | Katanga Juu | Kinshasa | Kivu Kaskazini | Kivu Kusini | Kongo Kati | Kwango | Kwilu | Lomami | Lomami Juu | Lualaba | Mai-Ndombe | Maniema | Mongala | Sankuru | Tanganyika | Tshopo | Tshuapa | Ubangi Kaskazini | Ubangi Kusini | Uele Chini | Uele Juu | |
| +/- | |
| Makala hii kuhusu maeneo ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Mai-Ndombe kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |

