Mahreen Zuberi
Mandhari
Mahreen Asif Zuberi (alizaliwa Januari 6, 1981) ni msanii kutoka Karachi, Pakistan. Mahreen alisoma katika Chuo cha Kitaifa cha Sanaa mjini Lahore ambapo alihitimu Shahada ya Sanaa kwa ufaulu wa juu.[1][2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Hashmi, Salima (2009). Flash Art (kwa Kiingereza). Giancarlo Politi. uk. 78.
- ↑ Hashmi, Salima (2016-11-15). "Contrary Signs |". Flash Art (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2020-06-25.
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mahreen Zuberi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |