Nenda kwa yaliyomo

Mahmud Xhelaledini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mahmud Xhelaledini alikuwa mwanasiasa wa Albania wa karne ya 20 ambaye alifanya kazi katika Dola la Osmani.

Alizaliwa mjini Gjirokastër mnamo mwaka 1870, na Xhelaledin alisoma mjini Thessaloniki.[1] Baada ya kuhitimu masomo ya utawala wa umma katika shule ya Kiothmani huko, akawa kaymakam (mkuu wa wilaya) wa Gjilan katika Vilayet ya Kosovo katika kipindi cha miaka ya 1901-1903. Katika miaka ya 1904-1912, alishika nafasi mbalimbali za uongozi katika Vilayet ya Thessaloniki.[1]

  1. 1 2 Özdalga, Elisabeth (2005). Late Ottoman society: the intellectual legacy. Routledger. uk. 331. ISBN 0-415-34164-7.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mahmud Xhelaledini kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.