Nenda kwa yaliyomo

Mahmoud Bayoumi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mahmoud Bayoumi, FRCS (18901938) alikuwa profesa wa upasuaji wa mifupa wa Misri katika Shule ya Matibabu ya Kasr El Aini.Bayoumi alianzisha Idara ya Upasuaji wa Mifupa ya Kasr El Aini akishirikiana na Profesa Mohamed Kamel Hussein.Bayoumi ndiye baba mzazi wa muigizaji maarufu Ahmed Ramzy.[1]

  1. Winnett Orr H: An Orthopedic Surgeon's Story of the Great War Archived 2015-01-04 at the Wayback Machine. Huse Publishing Co, Lincoln, Nebraska, 1921
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mahmoud Bayoumi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.