Mahadhi Maalim
Mandhari
Mahadhi Juma Maalim (amezaliwa 28 Machi 1972) ni mwanasiasa wa Tanzania na Mbunge wa jimbo la Muyuni kupitia CCM kuanzia Novemba 2010 hadi Oktoba 2015. Alikuwa pia Waziri Msaidizi wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa.[1] Alikuwa Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Kuwait na kwa sasa ni Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Qatar.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Member of Parliament CV". Parliament of Tanzania. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-09-24. Iliwekwa mnamo 24 Februari 2013.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mahadhi Maalim kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |