Nenda kwa yaliyomo

Magaga

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Magaga ni hali ya kupasukapasuka uwayo wa mguu wa binadamu ambao kwanza umekuwa mgumu (sugu). Mpasuko unaweza kufikia hatua ya kutokwa na damu.

Inatokea hasa kwa watu wanaotembea bila viatu au kwa makubadhi katika mazingira magumu, k.mf. ya baridi kali.

Mara nyingi wenye tatizo hilo wanalainisha ngozi kwa mafuta.

Makala hii kuhusu mambo ya tiba bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Magaga kama sababu yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.