Madume bora

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Ni jina la mtaa unaopatikana katika kata ya ipinda wilaya ya kyela mkoani mbeya.katika mtaa huu ndipo ambapo hupatikana kituo cha afyacha ipinda,wakazi wa mtaa huu hujishughulisha na biashara mbalimbali kama vile uuzaji wa [[mchele],mboga mbalimbali kama vile mchicha,majani ya maharage,kabeji pamoja na mkaa.pia vijana wa mtaa huo hujihusisha na shughuli mbali mbali kama vile uendeshaji wa bodaboda