Nenda kwa yaliyomo

Madalena Barbosa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Madalena Barbosa (13 Machi 1942 – 21 Februari 2008) alikuwa mwanzilishi wa Harakati ya Ukombozi wa Wanawake (Movimento de Libertação das Mulheres), iliyoanzishwa Aprili 1974 kwa lengo la “kupigania haki ya usawa wa fursa bila ubaguzi wa kijinsia”.[1]

  1. ↑ ["Madalena Barbosa". Centro) de documentação e arquivo feminista Elina Guimarães (kwa Kireno). Iliwekwa mnamo 2020-05-23. {{cite web}}: Check |url= value (help)[dead link]
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Madalena Barbosa kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.