Mad'an
Mandhari
(Elekezwa kutoka Mad'an (slave))
Mad'an (kiar. ميداس) alikuwa mtumwa wa Mtume Muhammad aliyezungumziwa katika Hadith.
Alikuwa mtumwa wa Kiafrika aliyekabidhiwa kwa Mtume Muhammad mwaka 628 BK na mtu aliyeitwa Rifa'ah bin Zaid, kutoka kabila la Banu Ad-Dubaib.
Mad'an alipigwa mshale mahali paitwapo Wadi al-Qura (pia hujulikana kama Wadi al-'Ula), umbali wa takribani kilomita 360 kaskazini mwa Madina, kwa kosa la kuiba joho kutoka katika ngawira ya vita baada ya Vita ya Khaybar.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mad'an kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |