Mabathoana High School

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mabathoana High School ni shule ya upili iliyopo katika mjii wa Maseru nchini Lesotho , jina la shule hii linatokana na jina la Mchungaji Emmanuel Mabathoana aliekuwa Mchungaji wa Kanisa Katoliki la nchini Lesotho [1] Shule hii inawanafunzi zaidi ya 600, moja ya wanafunzi walisoma katika shule hii ni Thabang Makwetla.[2][3][4]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Mda, Zakes (2012). Sometimes there is a Void: Memoirs of an Outsider. Penguin Random House South Africa. ISBN 9780143528586. 
  2. High School - Maseru - Lesotho[dead link]
  3. "Mabathoana High School". African Advice. Iliwekwa mnamo 2018-07-18. 
  4. "High Schools - Mabathoana High School - Maseru - Lesotho". SNJM. Soeurs des Saints Noms de Jésus et de Marie - SNJM.ORG. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-10-24. Iliwekwa mnamo 2018-07-18.  More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help); More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mabathoana High School kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.