Mababu wa Kitume
Mandhari
Mababu wa Kitume walikuwa Wakristo waandishi wa karne ya 1 na ya 2 BK ambao wanashika nafasi ya pekee kati ya Mababu wa Kanisa kutokana na ujirani wao na Mitume wa Yesu, ambao baadhi yao waliweza kuwafahamu au walau waliathiriwa nao sana kupitia mtu aliyewafahamu [1]. Ingawa baadhi ya maandishi yao yalitungwa wakati uleule wa vitabu kadhaa vya Agano Jipya na pengine yalitumika sana katika Kanisa la mwanzoni, hatimaye hayakupokewa katika Biblia ya Kikristo [2].
Maandishi yao
[hariri | hariri chanzo]- Barua zinazohusiana na Papa Klementi I
- Barua ya kwanza ya Klementi
- Barua ya pili ya Klementi (si ya kwake)
- Barua saba za Ignas wa Antiokia
- Kifodini cha Ignasi
- Barua ya Polikarpo
- Kifodini cha Polikarpo
- Mabaki ya maandishi ya Papia wa Hierapoli
- Sehemu ndogo iliyobaki ya Apolojia ya Kwadrato wa Athens
- Didake
- Barua ya Barnaba
- Barua kwa Diogneto[3]
- Mchungaji, kazi ya Herma
Baadhi wanakubali pia Tenzi za Solomoni kama maandishi ya mwanafunzi wa Mtume Yohane.[4]
Matoleo ya kitaalamu
[hariri | hariri chanzo]- The Apostolic Fathers. Vol. 1. I Clement. II Clement. Ignatius. Polycarp. Didache. Barnabas. Loeb Classical Library. Cambridge: Harvard University Press, 1912 Kirsopp Lake
- The Apostolic Fathers. Vol. 2. Shepherd of Hermas. Martyrdom of Polycarp. Epistle to Diognetus. Loeb Classical Library. Cambridge: Harvard University Press, 1913 Kirsopp Lake
- The Apostolic Fathers. Vol. 1. I Clement. II Clement. Ignatius. Polycarp. Didache. Loeb Classical Library. Cambridge: Harvard University Press, 2003 Bart Ehrman (replaced Lake)
- The Apostolic Fathers. Vol. 2. Epistle of Barnabas. Papias and Quadratus. Epistle to Diognetus. The Shepherd of Hermas. Loeb Classical Library. Cambridge: Harvard University Press, 2005 Bart Ehrman (replaced Lake)
- The Apostolic Fathers: Greek Texts and English Translations. 3rd Edition. Grand Rapids: Baker, 2007 Michael Holmes
- Die Apostolischen Väter. Tübingen: Mohr Siebeck, 1992 Andreas Lindemann and Henning Paulsen (German)
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑
Peterson, John Bertram (1913). . Catholic Encyclopedia. New York: Robert Appleton Company. - ↑ "Apostolic Fathers, The". In Cross, F. L., and Livingstone, E.A., eds. The Oxford Dictionary of the Christian Church. Oxford University Press (1974).
- ↑ Some editors place the Epistle to Diognetus among the apologetic writings, rather than among the Apostolic Fathers (Stevenson, J. A New Eusebius SPCK (1965) p. 400).
- ↑ Smith, Preserved (1915). "The Disciples of John and the Odes of Solomon". The Monist. 25 (2): 161–199. doi:10.5840/monist191525235. JSTOR 27900527.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Bartlet, James Vernon (1911). . Katika Chisholm, Hugh (mhr.). Encyclopædia Britannica. Juz. la 2 (tol. la 11th). Cambridge University Press. ku. 201–204.
{{cite encyclopedia}}: Cite has empty unknown parameter:|coauthors=(help) This contains a more detailed exegesis of the writings. - Apostolic Fathers in the Christian Cyclopedia
- SBL Apostolic Fathers Section
| Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mababu wa Kitume kama historia yake, matokeo au athari zake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |