Event:Wikimedia Community Kilimanjaro 2025-26 Monthly Edit-a-thon/October 2025 Training
Mandhari
Wikimedia Community Kilimanjaro Inaendesha mafunzo mwezi huu wa oktoba ya kuwawezesha washiriki wapya na wenye uzoefu katika wikipedia kuweza kushiriki katika editathon inayoitwa October 2025 African Athletes Edit-a-thon.
Jiunge nasi ujifunze na ushiriki katika wikipedia!
Mda
[hariri | hariri chanzo]- 11 - 31 Oktoba 2025
Mahali
[hariri | hariri chanzo]- Tukio la mtandao na ana kwa ana