Nenda kwa yaliyomo

Event:Wikimedia Community Kilimanjaro 2025-26 Monthly Edit-a-thon/March 2026 Training for New Editors

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Wikimedia Community Kilimanjaro Monthly Edit-a-thon

Wikimedia community kilimanjaro inaendesha mafunzo yanayowalenga washiriki wapya kabisa katika miradi ya wikipedia mwizi Machi. Mafunzo haya yameandaliwa mahususi kuwawezesha washiriki wapia kuwa na uwezo na maarifa yayanotakiwa katika kuhariri kwenye wikipedia ya kiswahili, huku yakiusisha kunda makala mpya, kuweka vyanzo ya kuaminika, na kurekebisha zilizopo kwa kufwata miongozo na taratibu za wikipedia ya kiswahili.


Njo na uianze safari yako ya kuhariri na kushiriki katika kuongeza maarifa kama mwanawikipedia

Muda wa Tukio

[hariri | hariri chanzo]
  • 14 or 21 March 2026

Mahali pa Tukio

[hariri | hariri chanzo]
  • Tukio la ana kwa ana na Mtandaoni

(Ukumbi wa tukio utatangazwa)

Waandaaji

[hariri | hariri chanzo]
  1. Ester Gasper Kimario
  2. Justine Msechu
  3. Abubakari Sixbert