Yohannes III

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Yohannes III (amezaliwa takriban 1797) alikuwa mfalme wa Ethiopia. Kati ya 1840 na 1851, Yohannes III na binamu yake, Sahle Dengel, waliondoana madarakani na kurudishiwa utawala mara kwa mara. Aliyemaliza fitina hiyo na kuwafuata ni Tewodros II. Yohannes III alikuwa mwana wa mwisho wa nasaba ya Solomoni. Haijulikani kama amefariki mwaka wa 1851, Tewodros II alipoanza utawala, au akiendelea kuishi hadi miaka ya 1870.

Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Uhabeshi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Yohannes III kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.