Víctor Pérez

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Víctor Pérez

Víctor Machín Pérez (anayejulikana kama Vitolo, alizaliwa 2 Novemba 1989]) ni mchezaji wa soka wa Hispania ambaye anacheza Atletico Madrid.

Licha ya kuwa anatumia mguu wa kulia anacheza hasa kama winga wa kushoto, na pia anaweza kufanya kazi kama mshambuliaji.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Víctor Pérez kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

.