Ural (mto)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mto Ural

Ural ni mto wa Urusi na Kazakhstan wenye urefu wa kilometa 2,428; urefu katika Urusi ni kilometa 1,550.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Urusi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Ural (mto) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.