Uhodhisoko

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
"Napenda Ushindani Mdogo"—J. P. Morgan. Katuni hiyo ya Art Young inaripoti jibu la J. P. Morgan alipoulizwa na Pujo Committee kuhusu ushindani katika biashara.[1]

Uhodhisoko (kutokana na kitenzi "kuhodhi" na neno "soko"; kwa Kiingereza "monopoly", kutoka maneno mawili ya Kigiriki: monos, yaani "pekee", na polein, yaani "kuuza") ni hali ya uchumi ambapo watu wachache au kampuni chache, kama si moja tu, hudhibiti soko la bidhaa fulani kiasi kwamba washindani hawawezi kuliingilia. Hali hiyo inaathiri upangaji wa bei na mambo mengine yanayohusu bidhaa hiyo.

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Uhodhisoko kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.