They Don't Care About Us

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
“They Don't Care About Us”
“They Don't Care About Us” cover
Single ya Michael Jackson
kutoka katika albamu ya HIStory: Past, Present and Future, Book I
Imetolewa Aprili 1996
Muundo CD single
Imerekodiwa 1995
Aina Hip hop, reggae, dance
Urefu 4:43 (Album/Single Version)
4:10 (LP Edit)
Studio Epic Records
Mtunzi Michael Jackson
Mtayarishaji Michael Jackson
Mwenendo wa single za Michael Jackson
"Earth Song"
(1995)
"They Don't Care About Us"
(1996)
"Stranger in Moscow"
(1996)

"They Don't Care About Us" ni single ya nne kutoka katika albamu ya Michael Jackson, HIStory. Wimbo huu umebaki kuwa kama moja kati ya nyimbo za Jackson zenye nong'ngono kuliko zile zote alizotunga hapo awali. Nchini Marekani, vyombo vya habari vya nchini humo vilianza upekuzi usiyo rasmi juu ya mashairi yaliyomo kwenye wimbo huu na kudai kwamba yanaonyesha dhahili kupingana na sera za Kiyahudi ilhali siyo kweli na wala hakuzungumzia masuala hayo.

Jambo hilo lilipelekea kwa Jackson kufanya mabadiliko ya haraka sana na kuomba radhi kwa mara kadhaa juu ya mashairi yake hasa katika wimbo huu (hata hivyo mashairi ya wimbo yalibaki vilevile). Michael alipata shutuma kibao dhidi ya dhana za kudai kwamba hawapendi Wayahudi, mwenyewe akabisha na kuripoti kwenye vyombo vya habari kwamba walitafsiri vibaya muktadha mzima wa wimbo wake, aidha kwa maksudi ima kibahati mbaya. Wimboni, upo kwenye mazingira ya hip hop ya fujo sana na lundiko la watu wakiwa mtaani.

Chati[hariri | hariri chanzo]

Chati (1996) Nafasi
Iliyoshika
Australian ARIA Singles Chart 16 [1]
Austrian Singles Chart 3 [1]
Belgian (Flanders) Singles Chart 9 [1]
Belgian (Wallonia) Singles Chart 3 [1]
Dutch Singles Chart 4 [1]
Finnish Singles Chart 6 [1]
French Singles Chart 4 [1]
German Singles Chart 1 (3 w.)[2]
Italian Singles Chart 9 [1]
New Zealand RIANZ Singles Chart 9 [1]
Norwegian Singles Chart 6 [1]
Spanish Singles Chart 2 [1]
Swedish Singles Chart 3 [1]
Swiss Singles Chart 3[3]
UK Singles Chart 4 [4]
U.S. Billboard Hot 100 30 [5]
Chati (2009) Nafasi
Iliyoshika
Danish Singles Chart 9 [1]
German Singles Chart 12 [2]
New Zealand Singles Chart 20[6]
Norwegian Singles Chart 10 [7]
Swiss Singles Chart 4[3]
UK Singles Chart 32[8]
UK R&B Chart 9

Matunukio[hariri | hariri chanzo]

Nchi Matunukio Mauzo
Australia Gold[9] 35,000+
Ujerumani Platinum[10] 500,000

Orodha ya Nyimbo[hariri | hariri chanzo]

U.S. and Japan Single

  1. They Don't Care About Us - 4:48
  2. They Don't Care About Us (Dallas Main Mix) - 7:56
  3. They Don't Care About Us (Charles Full Joint Mix) - 5:00
  4. They Don't Care About Us (Love To Infinity's Walk In The Park Mix) - 7:20
  5. They Don't Care About Us (Love To Infinity's Classic Paradise Mix) - 7:51
  6. They Don't Care About Us (Track Master's Radio Edit) - 4:09
  7. Rock With You (Frankie Knuckles' Favorite Club Mix) -7:39
  8. Earth Song (Hani's Extended Radio Experience) - 7:55

Austrian Single

  1. They Don't Care About Us - 4:48
  2. They Don't Care About Us (Dallas Main Mix) 7:56
  3. They Don't Care About Us (Love To Infinity's Anthem Of Love Mix) -7:46
  4. They Don't Care About Us (Love To Infinity's Walk In The Park Mix) - 7:20
  5. They Don't Care About Us (Love To Infinity's Classic Paradise Mix) - 7:51
  6. They Don't Care About Us (Love To Infinity's Hacienda Mix) - 7:13

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. 1.00 1.01 1.02 1.03 1.04 1.05 1.06 1.07 1.08 1.09 1.10 1.11 1.12 "M. Jackson - They Don't Care About Us (nummer)". www.ultratop.be. Iliwekwa mnamo 9 Novemba 2008. 
  2. 2.0 2.1 Hitilafu ya kutaja: Invalid <ref> tag; no text was provided for refs named 'They Don't Care About Us' german charts
  3. 3.0 3.1 "Swiss Singles Chart Archives". hitparade.ch. Iliwekwa mnamo 18 Julai 2009. 
  4. Hitilafu ya kutaja: Invalid <ref> tag; no text was provided for refs named mjvisionary
  5. Hitilafu ya kutaja: Invalid <ref> tag; no text was provided for refs named Michael Jackson Billboard History
  6. "New Zealand Singles Chart". RIANZ. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-06-21. Iliwekwa mnamo 7 Julai 2009.  Unknown parameter |= ignored (help); Unknown parameter |https://www.webcitation.org/5wChHAS9r?url= ignored (help)
  7. "Norwegian Singles Chart". VG. Iliwekwa mnamo 7 Julai 2009. 
  8. "UK Singles Chart". The Official UK Charts Company. Iliwekwa mnamo 6 Julai 2009. 
  9. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-05-18. Iliwekwa mnamo 2009-07-28. 
  10. http://www.musikindustrie.de/gold_platin_datenbank/
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu They Don't Care About Us kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.