Tahiti

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Tahiti ni kisiwa kikuu cha Polinesia ya Kifaransa. Kiko upande wa kusini-magharibi wa funguvisiwa ya Tuamotu. Eneo la kisiwa ni 1045 km². Mji mkubwa kabisa kisiwani huitwa Faaa. Mwaka wa 2012, idadi ya watu kisiwani imehesabiwa kuwa 183,645. Watu wakaao kisiwani kwa Tahiti huongea Kitahiti.

Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.