Tabaini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Tabaini (kutoka neno la Kiarabu; kwa Kiingereza "antithesis") ni tamathali yenye maelezo yanayokinzana lakini haibadilishi maana iliyokusudiwa awali.

Usemi wa namna hiyo unaweza kupendeza na kufanya sentensi iwe na hadhi ya sanaa.

Mifano:

  1. Si wanawake, si wanaume, wote walilia sana.
  2. Si mrefu, si mfupi, yupoyupo tu.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tabaini kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.