Suzanne Lilar

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Suzanne Lilar (née Baroness Suzanne Verbist; 21 Mei 1901 - 11 Desemba 1992 [1]) alikuwa mwandishi wa insha,riwaya na tamthilia wa Ubelgiji

Alikuwa mke wa Waziri wa Sheria wa Ubelgiji Albert Lilar na mama wa mwandishi Françoise Mallet-Joris na mwanahistoria wa sanaa Marie Fredericq-Lilar.

Alikuwa mwanachama wa Chuo cha Kifalme cha Lugha na Fasihi ya Kifaransa kutoka 1952 hadi 1992.

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Suzanne Lilar kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.