Sumba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Kisiwa cha Sumba

Sumba ni kisiwa cha Indonesia. Kiko upande wa kusini-mashariki wa kisiwa cha Sumbawa na upande wa kusini-magharibi wa kisiwa cha Flores. Eneo la kisiwa ni 11,153 km². Mji mkubwa kabisa kisiwani huitwa Waingapu. Mwaka wa 2010 idadi ya watu kisiwani imehesabiwa kuwa 685,186. Watu wakaao kisiwani kwa Sumba huongea lugha mbalimbali, ambao kubwa yake ni Kikambera.

Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.