Siku ya kimataifa ya lugha ya alama

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Siku ya kimataifa ya lugha ya alama (kwa Kiingereza International Day of Sign Languages - IDSL) husherehekewa tarehe 23 Septemba kila mwaka ikiambatana na wiki ya viziwi duniani.

Kuachaguliwa kwa tarehe 23 Septemba kunaendana moja kwa moja na tarehe ya kuanzishwa kwa shirikisho la wasiosikia duniani World Federation of the Deaf lililoanzishwa mwaka 1951. [1][2]

Kauli Mbiu[hariri | hariri chanzo]

  • 2019: Lugha ya Alama Haki kwa Wote! [3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Siku ya kimataifa ya lugha ya alama kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.