Siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Watoto wakiwa katika moja ya maadhimisho ya kupinga ukatili wa kijinsia, Arusha, Tanzania.

Siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia ni kampeni ya kimataifa ya kupinga ukatili dhidi ya wanawake.[1] Kampeni hii hufanyika kuanzia tarehe 25 Novemba na kumalizika tarehe 10 Desemba ya kila mwaka kwa ajili ya kupinga ukatili na kutetea haki za wanawake.

Siku hiyo ilianza kuadhimishwa rasmi mwaka 1991,siku hii inaongozwa na Kituo cha kimataifa cha Wanawake tarehe 10 ilichaguliwa rasmi kuwa siku ya kilele cha maadhimisho haya ikiambatana na siku ya haki za binadamu duniani.[2][1]

Tangu mwaka 1991, zaidi ya asasi 6,000 na zaidi ya nchi 187 hushiriki katika maadhimisho haya. [3]

Maadhimisho[hariri | hariri chanzo]

Siku hizi 16 za kupinga ukatili wa kijinsia huambatana na siku mbalimbali ambazo huadhimishwa ndani ya siku kumi na sita za mwezi Novemba na Desemba.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. 1.0 1.1 "16 days of activism". UN Women www.unwomen.org. Iliwekwa mnamo 6 December 2014.  Check date values in: |accessdate= (help)
  2. "WHO | 16 Days of Activism Against Gender Violence". www.who.int. Iliwekwa mnamo 2017-03-08. 
  3. "About". 16 Days Campaign (kwa en-US). Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-10-29. Iliwekwa mnamo 2019-10-29.  More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.