Shirika la Hali ya Hewa ya Dunia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Makao makuu ya WMO

Shirika la Hali ya Hewa ya Dunia (kwa Kiingereza: World Meteorological Organization; kifupi: WMO) ni asasi ya ushirikiano baina ya serikali mbalimbali duniani ikiwa na idadi ya Nchi wanachama 193. Makao makuu ya shirika ni Geneva, Uswisi.

Rais wa mkutano wa Dunia wa hali ya hewa ndiye kiongozi mkuu wa shirika ambaye ni Gerhard Adrian[1], na mtangulizi wake alikuwa David Grimes.

Shirika hili lilianzishwa baada ya lile la Shirika la Kimataifa la Hali ya Hewa, lililoanzishwa mnamo mwaka 1873. [2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2020-01-30. Iliwekwa mnamo 2020-01-28.
  2. Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2020-03-05. Iliwekwa mnamo 2020-01-28.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu: