Sergei Rachmaninoff

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sergei Rachmaninoff.

Sergei Vasilievich Rachmaninoff (Kirusi: Сергей Васильевич Рахманинов, Sergej Vasil’evič Rakhmaninov) (1 Aprili 187328 Machi 1943) alikuwa mtunzi wa Opera, mpigaji kinanda na mwelekezi mashuhuri kutoka nchini Urusi. Huyu aliwahi kuwa bingwa wa muziki wa clasiki katika Ulaya kwa kipindi cha Romatic.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Rekodi zake na baadhi ya faili za MIDI[hariri | hariri chanzo]

Tungo za bure[hariri | hariri chanzo]



Wikimedia Commons ina media kuhusu:


Orodha ya Wanamuziki wa kipindi cha Romatiki
Alkan Balakirev Beethoven Bellini Berlioz Berwald Bizet Borodin Brahms Bruckner Chopin Cui Dvořák Elgar Field Franck Glinka Grieg Liszt Mahler Mendelssohn Mussorgsky Rachmaninoff Rimsky-Korsakov Saint-Saëns Schubert Schumann Smetana Strauss Tchaikovsky Verdi Wagner Wolf Weber


Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani wa Ulaya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sergei Rachmaninoff kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.