Saga wa Japani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mchoro wa Saga

Saga (10 Oktoba, 78624 Agosti, 842) alikuwa mfalme mkuu wa 52 (Tenno) wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Kamino, na alikuwa mwana wa pili wa Tenno Kanmu. Mwaka wa 809 alimfuata kaka yake, Tenno Heizei, na kuwa mfalme hadi kujiuzulu mwaka wa 823. Aliyemfuata kama Tenno ni mdogo wake, Junna.

Angalia pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Japani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Saga wa Japani kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.