Sabini na saba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Sabini na saba (au saba na sabini) ni namba inayoandikwa 77 kwa tarakimu za kawaida na LXXVII kwa zile za Kirumi.

Ni namba asilia inayofuata 76 na kutangulia 78.

Vigawo vyake vya namba tasa ni: 7 x 11.

Matumizi[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya hisabati bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sabini na saba kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.