Richard Hofstadter

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Richard Hofstadter (6 Agosti 191624 Oktoba 1970) alikuwa mwanahistoria kutoka nchi ya Marekani. Alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Historia mara mbili, kwanza 1956 kwa kitabu chake Age of Reform ("Kipindi cha Marekebisho"), halafu tena 1964 kwa Anti-Intellectualism in American Life ("Upingaji-Akili nchini Marekani").

Makala hii kuhusu mwandishi fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Richard Hofstadter kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.